#324
Bwana Yesu atashuka Mbingu
Wokovu
Couplet 1
Bwana Yesu atashuka Mbingu na sauti za wamalaika.
Refrain
:/:(Lakini wewe) mwovu, ujue kama utaenda wapi. Itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi. :/: :/: (Itakuwa furaha) itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi.:/:
Couplet 2
:/: Waliokufa katika Bwana, wao watafufuliwa kwanza:/:
Refrain
:/:(Lakini wewe) mwovu, ujue kama utaenda wapi. Itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi. :/: :/: (Itakuwa furaha) itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi.:/:
Couplet 3
:/: Na kisha sisi tulio hai tutanyakuliwa Mbinguni. :/:
Refrain
:/:(Lakini wewe) mwovu, ujue kama utaenda wapi. Itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi. :/: :/: (Itakuwa furaha) itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi.:/:
Couplet 4
:/: Nayo furaha ya wenye dhambi itageuka kuwa uchungu.:/:
Refrain
:/:(Lakini wewe) mwovu, ujue kama utaenda wapi. Itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi. :/: :/: (Itakuwa furaha) itakuwa furaha kubwa, kwa wale wataenda na Mwokozi.:/:
Couplet 5
:/: Nayo huzuni ya wenye haki itageuka kuwa furaha.:/: