Indirimbo Zikundwa Open in the app

#320

Mungu aliacha sisi watu wake...

Wokovu

Couplet 1

Mungu aliacha sisi watu wake walimaji kwa dunia, aliweka mbegu kwa mikono yetu tuzipande katika watu.

Refrain

Chor: Kazi yetu yote itapimwa, mwenye shamba ni Yesu Kristo. Tusishinde huko na mikono bure katika mavuno ya Mungu.

Couplet 2

Hata roho za watu ni ngumu sana usingoje kupanda; tutavuna mavuno kwa furaha tena tutumikie Yesu daima.

Refrain

Chor: Kazi yetu yote itapimwa, mwenye shamba ni Yesu Kristo. Tusishinde huko na mikono bure katika mavuno ya Mungu.

Couplet 3

Siku za ujira zinakaribia. Tutapata hukumu, wenye kazi njema watapata sifa; haya itashika wavivu.

Refrain

Chor: Kazi yetu yote itapimwa, mwenye shamba ni Yesu Kristo. Tusishinde huko na mikono bure katika mavuno ya Mungu.