Indirimbo Zikundwa Open in the app

#315

Baba Mungu akifunga

Wokovu

Couplet 1

Baba Mungu akifunga, hata moja tafungua. Na kama akifungua, wakufunga anakosa. Siku utatufungua tutaruka kama njiwa, Eh Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyake Mungu.

Couplet 2

Sisi watumishi wako, umetuachia kazi. Ili tuifanye kwa bidii na tungoje kuja kwako, watumishi wako Bwana. Tunaomba utulinde, Eh Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyake Mungu.

Couplet 3

Mara nyingi tunaona uchokozi wa dunia, kutupima roho zetu, kwa kutesa mwili wetu. Haleluya tutasifu Mkombozi wetu Yesu, eh Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyake Mungu.