#306
Ninakuhitaji Mwokozi, Kujazwa
Wokovu
Couplet 1
Ninakuhitaji Mwokozi, kujazwa na Roho yako. Mapema, mchana, jioni, nikutumikie Yesu.
Refrain
:/: Ninakuhitaji Yesu, nijazwe upendo wako. Na siku kwa siku, Mwokozi, nikutumikie vema. :/:
Couplet 2
Ikiwa ni siku za kazi, ikiwa ni siku kuu. Ninakuhitaji Mwenyezi, kujazwa na Roho yako.
Refrain
:/: Ninakuhitaji Yesu, nijazwe upendo wako. Na siku kwa siku, Mwokozi, nikutumikie vema. :/:
Couplet 3
Nyumbani mwa baba na mama, kondeni mwa watu wengi. Popote ninapopitia, nilinde na niongoze.
Refrain
:/: Ninakuhitaji Yesu, nijazwe upendo wako. Na siku kwa siku, Mwokozi, nikutumikie vema. :/:
Couplet 4
Ninakuhitaji, Mwokozi, katika maombi yangu. Niombe kwa mapenzi yako, nipate yanifaayo.
Refrain
:/: Ninakuhitaji Yesu, nijazwe upendo wako. Na siku kwa siku, Mwokozi, nikutumikie vema. :/:
Couplet 5
Katika kitabu cha Mungu, twasoma ahadi zake. Aombaye atapewa, kwa jina la Yesu Kristo.