Indirimbo Zikundwa Open in the app

#305

Sifa na sifa ninakupa Yesu

Wokovu

Couplet 1

:/: Sifa na sifa ninakupa Yesu, kweli nimwimbie Mungu :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:

Couplet 2

:/: Maombi yangu Bwana yakufikie, ee! Mungu wa heri yangu.:/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:

Couplet 3

:/: Sitaki kuomba-omba kama ndege, kulia-lia porini. :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:

Couplet 4

:/: Na sasa roho yangu inasimama. Kweli nimwimbie Mungu. :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:

Couplet 5

:/: Na watakatifu wanasimama, wanamwimbia Mwokozi. :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:

Couplet 6

:/: Tuna huzuni ya wandugu wetu. Wako kwa giza ya dhambi. :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/: