Indirimbo Zikundwa Open in the app

#304

Sifa, uwezo na heshima kwake Yesu

Wokovu

Couplet 1

Sifa, uwezo na heshima, kwake Yesu Mwana kondoo. Sifa, uwezo na heshima, ni Mfalme wetu.

Refrain

Sifa, sifa, mwimbie kwa shangwe Sifa, sifa, Mwana Kondoo.

Couplet 2

Siku ya kuja kututwaa, tutakwenda kumlaki. Na tena tutamfanana, sifa Mwana Kondoo.

Refrain

Sifa, sifa, mwimbie kwa shangwe Sifa, sifa, Mwana Kondoo.

Couplet 3

Nitafurahi kuondoka nchi hii ya mateso. Nitamkuta Bwana wangu, na Mwokozi wangu.

Refrain

Sifa, sifa, mwimbie kwa shangwe Sifa, sifa, Mwana Kondoo.

Couplet 4

Ninamwimbia tu kidogo, hapa chini duniani, nitamwimbia mara nyingi, huko kwake Mbingu.

Refrain

Sifa, sifa, mwimbie kwa shangwe Sifa, sifa, Mwana Kondoo.