#303
Nitamwimbia Mungu na furaha
Wokovu
Couplet 1
Nitamwimbia Mungu na furaha, kwa sababu alishinda shetani. :/: Kwa furaha punda zote za Farao, walizozipanda wote wakafa. :/:
Refrain
:/: Kule ngambo, kule ngambo wa israeli walivuka, walipomwimbia nyimbo za Musa:/: :/: Kule ngambo walivuka na furaha walipomwimbia nyimbo za Musa. :/:
Couplet 2
Gari zote za askari kwa kupita, kwa kuwashambulia watu wa Mungu. :/: Wale wote mashujaa wa Farao, Mungu aliwafunikiza majini. :/:
Refrain
:/: Kule ngambo, kule ngambo wa israeli walivuka, walipomwimbia nyimbo za Musa:/: :/: Kule ngambo walivuka na furaha walipomwimbia nyimbo za Musa. :/:
Couplet 3
Wanawake waliimba kwa furaha. Wakapiga vinubi kwatika shangwe :/: na nabii Miriamu akasema, msifuni Mungu wetu kwa furaha.:/:
Refrain
:/: Kule ngambo, kule ngambo wa israeli walivuka, walipomwimbia nyimbo za Musa:/: :/: Kule ngambo walivuka na furaha walipomwimbia nyimbo za Musa. :/:
Couplet 4
Mwenyezi Mungu ni tumaini langu, tena Mungu anakuwa wimbo wangu. :/: Mwenyezi Mungu anipitia mbele, na tena ni yeye yuko ngao yangu. :/: