#298
Ninao wimbo wakunifurahisha
Wokovu
Couplet 1
Ninao wimbo wakunifurahisha wa Mwokozi, wa Mwokozi. Namshukuru kwa roho yote pia, Mwokozi Mzuri ninaye!
Refrain
Mwokozi - wimbo wangu, Mwokozi, Mwokozi! Mahali pote na siku zote nitamsifu Yesu kati’ yote. Mwokozi ni wimbo wangu wa huku na Mbinguni.
Couplet 2
Na jina moja ni lenye pendo tele: Yesu, Yesu, ndilo jina! Anipa yote niliyokosa mbele, Mwokozi Mzuri ninaye.
Refrain
Mwokozi - wimbo wangu, Mwokozi, Mwokozi! Mahali pote na siku zote nitamsifu Yesu kati’ yote. Mwokozi ni wimbo wangu wa huku na Mbinguni.