Indirimbo Zikundwa Open in the app

#279

Upendo wake Mungu unatuunganisha

Wokovu

Couplet 1

Upendo wake Mungu unatuunganisha. ’Shirika wa watakatifu - uheri wa Mbinguni.

Couplet 2

Katika sala zetu twakaribia Baba kwa tumaini, ujasiri na kwa imani moja.

Couplet 3

Upendo wa kikristo ha’vunji urafiki. Twalia naye kwa uchungu, furaha twa’shiriki.

Couplet 4

Tunaachana huku kwa sikitiko sana. Kwa shangwe tena kwake Mungu twaweza kuonana.