#269
Katika bonde na milima
Wokovu
Couplet 1
Katika bonde na milima, kwa mataifa mahali pote, peleka neno la Wokovu! Msifu Yesu sana!
Refrain
Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ’sifuni Yesu daima!
Couplet 2
Mapema na jioni pia hubiri neno la Bwana Yesu! Tangaza njia ya Wokovu, msifu Yesu sana!
Refrain
Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ’sifuni Yesu daima!
Couplet 3
Lo! Paradiso malaika wanahimidi Mwokozi wetu. Tuimbe nasi sifa yake, tu’sifu Yesu sana!
Refrain
Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ’sifuni Yesu daima!
Couplet 4
Usiyeona kufa bado, uipokee Neema leo! Ujisafishe kati’ Damu, msifu Yesu Kristo!
Refrain
Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ’sifuni Yesu daima!