Indirimbo Zikundwa Open in the app

#248

Yesu akiniongoza sitaanguka

Wokovu

Couplet 1

Yesu akiniongoza sitaanguka, sitaanguka. Ni Mfalme mtukufu, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.

Refrain

Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.

Couplet 2

Yesu amenipa raha, ni kiongozi, ni kiongozi. Anaka’ moyoni mwangu, Yesu Mwokozi, Yesu Mwokozi.

Refrain

Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.

Couplet 3

Nilikuwa kama chungu kilichovunjwa, kilichovujwa. Sasa nimeokolewa na Bwana Yesu, na Bwana Yesu.

Refrain

Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.

Couplet 4

Nitakapofika Mbingu nitamsifu, nitamsifu Yesu kwa upendo wake, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.