Indirimbo Zikundwa Open in the app

#226

Macho yangu kumtazama

Wokovu

Couplet 1

Macho yangu kumtazama, masikio yakumsikia, na miguu yakumfuata Yesu, rafiki yangu!

Couplet 2

Roho yangu inapenda Yesu, na ulimi unamshukuru, kwa mikono namtumikia Yesu, rafiki yangu!