#217
Bwana Yesu atakuja kutoka Mbingungi
Wokovu
Couplet 1
Bwana Yesu atakuja kotoka Mbinguni, atawachukua wote wanaomwamini.
Refrain
Kama nyota za Mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya Yesu.
Couplet 2
Atawakusanya wote waliompenda, watakuwa tunu yake milele Mbinguni.
Refrain
Kama nyota za Mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya Yesu.
Couplet 3
Na watoto watakuwa pamoja na Yesu, watang’aa kama lulu nyumbani mwa Baba.
Refrain
Kama nyota za Mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya Yesu.