Indirimbo Zikundwa Open in the app

#218

Mtoto mimi ni maskini

Wokovu

Couplet 1

Mtoto mimi ni maskini, lakini nafurahi kwa kuwa Baba yangu Mwema ananitunza vema.

Couplet 2

Babangu anipenda sana, anionyesha njia. Upendo wake unapita uzuri wa dunia.

Couplet 3

Katika shida na huzuni naimba kwa furaha: "Nina makimbilio yangu kwa Mungu Baba yangu"