Indirimbo Zikundwa Open in the app

#213

Kama unataka kuwa mtu wake Yesu

Wokovu

Couplet 1

Kama unataka kuwa mtu wake Yesu, kama unataka kufuata yeye, kama unataka yeye akusaidie: Mpe Yesu moyo wako!

Refrain

Ataondoa dhambi zako zote, na utaipokea nguvu yake! Ukiokoka utaona kwamba ni vizuri kufuata Yesu kweli.

Couplet 2

Kama unataka kuwa mtu mwenye heri, ufungue moyo, Yesu aingie! Kama unataka utulivu na faraja, mpe Yesu moyo wako!

Refrain

Ataondoa dhambi zako zote, na utaipokea nguvu yake! Ukiokoka utaona kwamba ni vizuri kufuata Yesu kweli.

Couplet 3

Kama unataka kumtumikia Yesu na kuifuata njia yake hapa, kama unataka kuingia huko Mbingu: Mpe Yesu moyo wako!

Refrain

Ataondoa dhambi zako zote, na utaipokea nguvu yake! Ukiokoka utaona kwamba ni vizuri kufuata Yesu kweli.