Indirimbo Zikundwa Open in the app

#204

Pendo la Mwokozi kubwa mno!

Wokovu

Couplet 1

Pendo la Mwokozi kubwa mno! Yesu akuita, ufike kwake sasa!

Refrain

:/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:

Couplet 2

Amengoja wewe siku nyingi, analia sana juu ya dhambi zako.

Refrain

:/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:

Couplet 3

Kwa huruma nyingi akuita. ’Geukie Mungu, anakungoja sasa!

Refrain

:/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:

Couplet 4

Yesu atakupa raha kubwa na uzima tele ulio wa milele.

Refrain

:/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/: