Indirimbo Zikundwa Open in the app

#203

Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi

Wokovu

Couplet 1

Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi. Wakawilia nini? Ufike kwake leo!

Refrain

Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae tena Wokovu wake Mungu!

Couplet 2

Hatua moja mbele, anakungoja sasa. Amini neno lake, na utapata raha!

Refrain

Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae tena Wokovu wake Mungu!

Couplet 3

Hatua moja mbele, uzima uta’ona. Siku si nyingi huku, ’jitoe kwake Mungu!

Refrain

Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae tena Wokovu wake Mungu!

Couplet 4

Hatua moja mbele, kwa nini kukawia? Omba: E’ Bwana Yesu, unipokee sasa!