#178
Yesu kutoka Mbinguni aliingia
Wokovu
Couplet 1
Yesu kutoka Mbinguni aliingia huku chini ya giza na dhambi, ili atuokoe.
Refrain
Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno makubwa!
Couplet 2
Wanapotea gizani wengi wa ndugu zako. Nenda kapashe habari: "Leo Wokovu uko"!
Refrain
Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno makubwa!
Couplet 3
Nenda kawaubirie watu wa mataifa neno la Yesu Mwokozi! Anakuita leo.
Refrain
Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno makubwa!