#162
Bwana Yesu uwe nami
Wokovu
Couplet 1
Bwana Yesu, uwe nami, bila wewe nina hofu, unikaribie sana, uwe kiongozi wangu!
Refrain
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia yako siko zote.
Couplet 2
Bwana Yesu, uwe nami, kwani mimi ni dhaifu; na unifariji moyo kila siku ya huzuni!
Refrain
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia yako siko zote.
Couplet 3
Bwana Yesu, uwe nami siku zote safarini, zikiwako shida huku au raha na amani!
Refrain
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia yako siko zote.
Couplet 4
Bwana Yesu, uwe nami! Nahitaji nuru yako hata nitafika Mbingu, kao letu la milele!