Indirimbo Zikundwa Open in the app

#122

Mwokozi kamili ni Yesu pekee

Wokovu

Couplet 1

Mwokozi kamili ni Yesu pekee, Mwokozi Mzuri halisi. Katika Wokovu wa Mungu mkuu ninalindwa naye kabisa.

Refrain

Katika Wokovu nalindwa salama, naishi kwa maji ya ’hai. Upendo wa Mungu unanizunguuka :/: na kanihifadhi daima. :/:

Couplet 2

Baraka ya Mbingu inanijaliza kwa Roho ya utakatifu. Nasifu Mwokozi katika furaha, Wokovu umenifikia.

Refrain

Katika Wokovu nalindwa salama, naishi kwa maji ya ’hai. Upendo wa Mungu unanizunguuka :/: na kanihifadhi daima. :/:

Couplet 3

Mwokozi Mzuri ni Yesu pekee, aniondoaye mizigo. Njiani ananiongoza vizuri, anipa na nguvu ya mwendo.

Refrain

Katika Wokovu nalindwa salama, naishi kwa maji ya ’hai. Upendo wa Mungu unanizunguuka :/: na kanihifadhi daima. :/:

Couplet 4

Nitakapomwona Mwokozi Mbinguni baada ya shida za huku, Nitamhimidi na kumshukuru Bwana ninayempenda.