Indirimbo Zikundwa Open in the app

#123

Mwokozi Mzuri ninaye

Wokovu

Couplet 1

Mwokozi Mzuri ninaye, zamani sikumfahamu, na sasa ninamhubiri, wengine wapate kuona.

Refrain

Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi Mzuri ninaye; Lo! Wote watamwona.

Couplet 2

Shetani akinizuia nisimfuate Mwokozi, najua Bwanangu hodari hutaka kunisaidia.

Refrain

Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi Mzuri ninaye; Lo! Wote watamwona.

Couplet 3

Apita wo wote kwa wema, mfano ’tukufu wa Baba, lakini anitaja ndugu, niliye maskini kabisa.

Refrain

Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi Mzuri ninaye; Lo! Wote watamwona.

Couplet 4

Natoa maisha na pendo kwa Yesu aliyenipenda. Katika ishara za Mungu upendo wapita yo yote.

Refrain

Wote watamwona, wote watamwona Mwokozi Mzuri ninaye; Lo! Wote watamwona.