Indirimbo Zikundwa Open in the app

#105

Wakati wa Noeli

Wokovu

Couplet 1

Wakati wa Noeli nafika kwenye hori, :/: alipolala Yesu, maskini, mtulivu. :/:

Couplet 2

Mwokozi wangu Mwema, kwa pendo ulifika, :/: nitoke dhambi zangu, nipate kuwa wako:/:

Couplet 3

Nakuhitaji, Yesu, rafiki wa watoto. :/:Sitaki kuumiza kwa dhambi wewe tena. :/:

Couplet 4

Nitashukuru Yesu milele na milele. :/: maana alifika kutuokoa sisi. :/: