Indirimbo Zikundwa Open in the app

#41

Siku nyingi nilifanya dhambi

Wokovu

Couplet 1

Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ’jili yangu.

Refrain

Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua. Namsifu Yesu kwa ajili ya Msalaba.

Couplet 2

Niliposikia Neno lake, moyo wangu ukalia sana. Nikaona maumivu yake kwa ’jili yangu.

Refrain

Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua. Namsifu Yesu kwa ajili ya Msalaba.

Couplet 3

Bwana Yesu ni Mwokozi wangu, jua na Mfalme na uzima. Ninamhibidi kwa ajili ya Msalaba.

Refrain

Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua. Namsifu Yesu kwa ajili ya Msalaba.