Indirimbo Zikundwa Open in the app

#235

Jina la bwana Mungu

Umuco

Couplet 1

Jina la Bwana Mungu, ni jina la ajabu kweli, ni jina lililo niumba mimi, mbingu dunia, hata na vitu vyote.

Refrain

Ilo jina ni wokovu wetu, Yesu Kristo alisulubiwa kwa ajili ya wewe na mimi, akasema yote yamekwisha ./.Haleluya, haleluya! Mwokozi alitukomboa./.

Couplet 2

Jina la Mungu Baba, ni jina la uwezo wote kwa sababu linaponya magonjwa na kuwapa watu kushinda vita.

Refrain

Ilo jina ni wokovu wetu, Yesu Kristo alisulubiwa kwa ajili ya wewe na mimi, akasema yote yamekwisha ./.Haleluya, haleluya! Mwokozi alitukomboa./.

Couplet 3

Jina la Bwana Mungu, linaleta amani moyoni, katika jina hilo, tunapata kutii Mungu katika imani.

Refrain

Ilo jina ni wokovu wetu, Yesu Kristo alisulubiwa kwa ajili ya wewe na mimi, akasema yote yamekwisha ./.Haleluya, haleluya! Mwokozi alitukomboa./.

Couplet 4

Jina la Bwana Mungu, ni la Uzima wa milele linatupa kuwa taifa lake na kuongozwa na neno lake.

Refrain

Ilo jina ni wokovu wetu, Yesu Kristo alisulubiwa kwa ajili ya wewe na mimi, akasema yote yamekwisha ./.Haleluya, haleluya! Mwokozi alitukomboa./.

Couplet 5

Jina hilo si lingine bali ni la Yesu Christo, kwa sababu kati ka huyo, tumepata uzima wa milele.