Indirimbo Zikundwa Open in the app

#558

Niwezeshe Mungu wangu

Umuco 2

Couplet 1

Niwezeshe Mungu wangu, Niweze kushinda dunia, Na mambo yake yote huku, Ili niweze kukuona.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 2

Ni Wewe Uliyeniita, Nivike Nguvu zako Bwana, Niweze kukuona Baba, Niwezeshe kupiga hatua.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 3

Moyo wangu watamani, Kuona uso wako Bwana, Sihitaji kufia jangwani, Nahitaji kufika Sayuni.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 4

Niwezeshe kuwaona, Walionitangulia, Kwani ni’ mmoja wao, Niwezeshe kufika Sayuni.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 5

Nakuhitaji Mungu wangu, Katika uzima wangu, Ona milima ni mirefu, Kwa nguvu zangu siwezi kitu.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 6

Bwana Yesu uliangazia, Nuru kubwa watumishi wako, Hakika u’ Mungu wa Kweli, Ni Wewe Mungu wa Israeli.

Refrain

Ni Wewe Matumaini yangu, Ni Wewe Uliwezesha Eliya, Hata Henoki na wengine pia, Na mimi ni mmoja wao.

Couplet 7

Bwana ni mwingi wa Rehema, Ikiwa Utanyenyekea, Pia ni Hakimu Mkubwa, Ukikosa kutii Neno lake.