#402
Njia ya imani….
Umuco 2
Couplet 1
Njia ya imani ndiyo njia halisi, Ambayo inayompendeza Yesu, Pia na sisi yatupasa kutembea kwa njia hiyo halisi, tuishinde dunia.
Refrain
Kwa sababu na sisi yatupasa kuenenda, Katika njia hiyo ili tuwe Mashujaa, Tukishinda yaliyo duniani, Tuweze kuwa Washindi wa Njia hiyo ya Imani.
Couplet 2
Imani twaipata katika Neno lake, Ambalo twahubiriwa siku kwa siku, Yatupasa kuamini hilo Neno, Ili Imani hio nasi tuitembeleye.
Refrain
Kwa sababu na sisi yatupasa kuenenda, Katika njia hiyo ili tuwe Mashujaa, Tukishinda yaliyo duniani, Tuweze kuwa Washindi wa Njia hiyo ya Imani.
Couplet 3
Walioitwa mashujaa wa imani hiyo, Walikuwa watiifu kwa Neno hilo, Ambalo lilikuwa katikati yao, Walilitembelea wakaishinda dunia.
Refrain
Kwa sababu na sisi yatupasa kuenenda, Katika njia hiyo ili tuwe Mashujaa, Tukishinda yaliyo duniani, Tuweze kuwa Washindi wa Njia hiyo ya Imani.
Couplet 4
Basi na sisi taifa la Bwana Yesu, Imani ndiyo njia yampendeza, Tumuombe ili imani yake itujiliye, Tukitwa hapa duniani tuishi kwa Imani.