#116
Ndugu yangu, we ndugu yangu
Umuco
Couplet 1
Ndugu yangu, we ndugu yangu neema za Mungu ziko, juu yako Mukono wa Mungu uko juu yako nguvu za Mungu ziko juu yako, neema gani juu yako ndugu umpe roho yako aitawale.
Refrain
Ujimpe ndugu katika raha, ujimpe ndugu katika tabu, ujimpe katika jaribu ujimpe usiku na mchana jimpe ndugu katika yote raha, furaha zitakua ndani yako.
Couplet 2
Ndugu yangu, we ndugu yangu Mungu alikujionesha uwazi wajua hatua zake pia, mikono yake imekukumbatia neema gani juu yako ndugu, mpe roho yako aitawale.
Refrain
Ujimpe ndugu katika raha, ujimpe ndugu katika tabu, ujimpe katika jaribu ujimpe usiku na mchana jimpe ndugu katika yote raha, furaha zitakua ndani yako.
Couplet 3
Ndugu yangu, we ndugu yangu mahitaji yako inajibiwa, unapoomba sikio lake ni karibu, ukiombea katika neno lake iko tayari kukujibu ndugu mpe roho yako aitawale.
Refrain
Ujimpe ndugu katika raha, ujimpe ndugu katika tabu, ujimpe katika jaribu ujimpe usiku na mchana jimpe ndugu katika yote raha, furaha zitakua ndani yako.
Couplet 4
Ndugu yangu, we ndugu yangu, uache ndugu kutangatanga hakuna vingine ndugu yangu vilivyo juu ya ivyo vyote usipeperushwe na upepo neema zake ziko juu yako.