Indirimbo Zikundwa Open in the app

#117

Kutembea na Yesu

Umuco

Couplet 1

Kutembea na Yesu ni furaha kubwa, kutembea na Yesu ni amani tele; Kutembea na Yesu vyaleta ushindi, kutembea na Yesu vyatupa nguvu.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, ufuate nyayo zake Bwana, umpe na fasi nyumbani mwako umpe na fasi kazini pote, njiani pia umpe na fasi itakua furaha haleluya.

Couplet 2

Tembea na Yesu ni rafiki wa kwanza umupende Yesu kuzidi upendavyo, tembea na Yesu ni silaha kubwa na katika kuzungumuza umuseme Yesu.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, ufuate nyayo zake Bwana, umpe na fasi nyumbani mwako umpe na fasi kazini pote, njiani pia umpe na fasi itakua furaha haleluya.

Couplet 3

Tembea na Yesu katika moto tembea na Yesu katika jaribu, tembea na Yesu katika kuchoka tembea na Yesu katika vyote.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, ufuate nyayo zake Bwana, umpe na fasi nyumbani mwako umpe na fasi kazini pote, njiani pia umpe na fasi itakua furaha haleluya.

Couplet 4

Kuwa na Yesu maishani mwangu ni amani juu ya amanizaidi, Bwana Yesu uwe pamoja nami, katika vyote uzimani mwangu.