Indirimbo Zikundwa Open in the app

#115

Kuna nyumba isiojengwa

Umuco

Couplet 1

Kuna nyumba isiojengwa na mikono ya wanadaamu, ni nyumba nzuri sana ni nyumba ya Mungu Baba, Muumba wa vyote jina lake, ni mtakatifu, mwenye haki.

Refrain

Ee Baba, ee Baba Mungu uitakase nyumba yako, uikae ndani na uitawale, kwa kuwa wewe Bwana haukai ndani ya nyumba za watu, kaa nyumbani mwako na utumike munyumba ni mengi, lakini wamefukuza njooni mwangu tuchangie.

Couplet 2

Makanisa ni mengi sana na manyumba ni mengi sana lakini kuna nyumba iliojengwa na Mungu Baba, ni nyumba ya mwenye nayo njoo Bwana Mungu, njoo uitumikiye ndani.

Refrain

Ee Baba, ee Baba Mungu uitakase nyumba yako, uikae ndani na uitawale, kwa kuwa wewe Bwana haukai ndani ya nyumba za watu, kaa nyumbani mwako na utumike munyumba ni mengi, lakini wamefukuza njooni mwangu tuchangie.

Couplet 3

Kati nyumba havimo vyombo vya dhahabu na vya fedha tu, bali na vya miti na vya udongo na vingine vya heshima, vingine havina nimejitenga na uovu, njoo unitumikishe.

Refrain

Ee Baba, ee Baba Mungu uitakase nyumba yako, uikae ndani na uitawale, kwa kuwa wewe Bwana haukai ndani ya nyumba za watu, kaa nyumbani mwako na utumike munyumba ni mengi, lakini wamefukuza njooni mwangu tuchangie.

Couplet 4

Kaa ndani ya nyumba yako ipate kujaa utukufu wako, uitumike ndani kazi yako Bwana Yesu, Ee Baba, njoo tumika kazi yako kanisani mwako.

Refrain

Ee Baba, ee Baba Mungu uitakase nyumba yako, uikae ndani na uitawale, kwa kuwa wewe Bwana haukai ndani ya nyumba za watu, kaa nyumbani mwako na utumike munyumba ni mengi, lakini wamefukuza njooni mwangu tuchangie.

Couplet 5

Makanisa ya Laodikiya yamekutupa inje Bwana Yesu, Mimi chombo chako kaa ndani yangu Bwana Yesu, uwe ndani yangu nami niwe ndani yako, joo ukae nami.