#106
Chini ya mbingu mimi
Umuco
Couplet 1
Chini ya mbingu mimi nimechunguza kilicho vema; ili nipate kukichagua, lakini nimeona yote ni yabure, heri kwenda mbinguni.
Refrain
Vilivyo dunia ni bure, dunia ni bonde la mauti; kilicho vema kwangu mimi, ni kutoka katika duniahii nende mbinguni kwa Baba.
Couplet 2
Niliona mimi kuchagua Ufalme, na mambo yalio makuu juu ya yote; lakini nimeona yote ni ya bure, yote ni bonde la muti.
Refrain
Vilivyo dunia ni bure, dunia ni bonde la mauti; kilicho vema kwangu mimi, ni kutoka katika duniahii nende mbinguni kwa Baba.
Couplet 3
Nimeona kilicho juu ya mambo yote huku chini, ni kuchagua kama Yakobo; ni kuchagua kurithiwa Ufalme na kupandishwa mbinguni.
Refrain
Vilivyo dunia ni bure, dunia ni bonde la mauti; kilicho vema kwangu mimi, ni kutoka katika duniahii nende mbinguni kwa Baba.
Couplet 4
Niliulizwa jambo huku chini ya mbingu, nitachagua nini katika yote, nilichagua kurithi Ufalme na kupandishwa mbinguni.
Refrain
Vilivyo dunia ni bure, dunia ni bonde la mauti; kilicho vema kwangu mimi, ni kutoka katika duniahii nende mbinguni kwa Baba.
Couplet 5
Marafiki wananichukia eti nimechagua vibaya; wananiona kama mpumbavu lakini nimeona kilicho juu ya yote, ni kuchagua uzima.