Indirimbo Zikundwa Open in the app

#107

Kuna njia kweli nzuri

Umuco

Couplet 1

Kuna njia kweli nzuri sana, mwanzo wake ni Gologotha ianzia kweli msalabani, inafika mbinguni kwa Baba.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, wasiyo safi hawapite juu yake; ni njia ya watoto wa Mungu, hata wakiwa wajinga sana, hawatapotea njia hio ./.Waliyo kombolewa wanaiona./.

Couplet 2

Njia hio inajaa utukufu, utukufu wa Baba huijaa; mataifa kweli hawaioni waliyo kombolewa wanaiona

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, wasiyo safi hawapite juu yake; ni njia ya watoto wa Mungu, hata wakiwa wajinga sana, hawatapotea njia hio ./.Waliyo kombolewa wanaiona./.

Couplet 3

Mataifa kweli hawaioni waiona kama njia mbaya; inajaa masimba mengi sana waiona kama njia ya taabu.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, wasiyo safi hawapite juu yake; ni njia ya watoto wa Mungu, hata wakiwa wajinga sana, hawatapotea njia hio ./.Waliyo kombolewa wanaiona./.

Couplet 4

Sisi waliyo kombolewa twaiona ni njia ya utukufu; utukufu wa Baba Mungu unajaa katika njia hio.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, wasiyo safi hawapite juu yake; ni njia ya watoto wa Mungu, hata wakiwa wajinga sana, hawatapotea njia hio ./.Waliyo kombolewa wanaiona./.

Couplet 5

Jinsi unavyopiga haatua na ndivyo jinsi unazidisha, kuona utukufu wa Baba njia hio inafika Sayuni.