#104
Sifa kwa bwana Mungu
Umuco
Couplet 1
Sifa kwa Bwana Mungu aliyeumba vyote aliyeumba inchi na vitu vyote vilivyomo.
Refrain
Ninasifu jina lake na neema zake kwangu mimi; na Upendo aliyenipenda sifa zake zajaa mwangu.
Couplet 2
Ndege asubuhi sana zinaimba zikimsifu, vilivyo chini, vilivyo juu vinaonesha nguvu zake.
Refrain
Ninasifu jina lake na neema zake kwangu mimi; na Upendo aliyenipenda sifa zake zajaa mwangu.
Couplet 3
Jua mwezi na nyota vinaonyesha nguvu zake; nikiviona naona nguvu zake, Haleluya ni furaha.
Refrain
Ninasifu jina lake na neema zake kwangu mimi; na upendo aliyenipenda sifa zake zajaa mwangu.
Couplet 4
Roho yangu inaimba nimepumzika bustanini; mwili nao umeshindwa Haleluya ni furaha.
Refrain
Ninasifu jina lake na neema zake kwangu mimi; na Upendo aliyenipenda sifa zake zajaa mwangu.
Couplet 5
Nuru yake yangaa sasa, furaha inaja mwangu; ninaimba nikimsifu Mungu Haleluya ni furaha.
Refrain
Ninasifu jina lake na neema zake kwangu mimi; na Upendo aliyenipenda sifa zake zajaa mwangu.