#391
Tunangoja sana kwa hamu
Umuco 1
Couplet 1
Tunangoja sana kwa hamu kubwa, Kutimia kwa zile ahadi za Mungu, Kwa sababu tumechoka sana, Na maasi wa dunia hiyi.
Refrain
{Bwana Yesu yu’ karibu, Kuchukua walio wake} x2 {Wapate kupumzika, Na kurithi uzima wa milele.} x2
Couplet 2
Kwa dalili zote tunaona kuwa, Kurudia kwa Bwana wetu Yesu Kristo, Natazama, wamefufuka wale, Mashujaa waliosinzia.
Refrain
{Bwana Yesu yu’ karibu, Kuchukua walio wake} x2 {Wapate kupumzika, Na kurithi uzima wa milele.} x2
Couplet 3
Mashujaa wote waliokuwa, Wakingali hai na waliofufuka, Na wote wakapandishwa Mbinguni, Bibi-Arusi amenyakuliwa.
Refrain
{Bwana Yesu yu’ karibu, Kuchukua walio wake} x2 {Wapate kupumzika, Na kurithi uzima wa milele.} x2
Couplet 4
Nikaona viti vya enzi Mbinguni, Nikaona walioshinda yule mnyama, Wakaketi, wakapewa hukumu, Pia wakatawala miaka elfu.
Refrain
{Bwana Yesu yu’ karibu, Kuchukua walio wake} x2 {Wapate kupumzika, Na kurithi uzima wa milele.} x2
Couplet 5
Tena ni heri kwao watakaokuwa Zaidi katika huyo ufufuko wa kwanza Watapewa mavazi yale meupe, Siku ile huko juu Mbinguni.