Indirimbo Zikundwa Open in the app

#366

Mbona usiku umekomaa

Umuco 1

Refrain

[Trad. en Kir., voir Cant. N°448]

Couplet 1

Mbona usiku umekomaa, Giza ni nyingi sana, Ona jioni milimani, Kuna mwanga laini.

Refrain

Nimeiona nuru yako Bwana, Inanipa furaha na amani, Inanipa ujasiri na upendo, Kamwe sitaiacha njia hiyo.

Couplet 2

Wasemaji ni wengi sana, Lengo la Shetani ni, Kunyakuwa amani yetu, Na furaha yetu pia.

Refrain

Nimeiona nuru yako Bwana, Inanipa furaha na amani, Inanipa ujasiri na upendo, Kamwe sitaiacha njia hiyo.

Couplet 3

Nimeona kweli na haki, Nitavizingatiya, Hadi maisha yangu yote, Milele na milele.

Refrain

Nimeiona nuru yako Bwana, Inanipa furaha na amani, Inanipa ujasiri na upendo, Kamwe sitaiacha njia hiyo.

Couplet 4

We shujaa, nenda ukachote, Kwenye kisima safi, Palipo nguvu na ushindi, Ili uvikwe taji.

Refrain

Nimeiona nuru yako Bwana, Inanipa furaha na amani, Inanipa ujasiri na upendo, Kamwe sitaiacha njia hiyo.

Couplet 5

Neno lako kwa moyo wangu, Marashi yenye nuru, Maji chemchem yananipa, Furaha ya upekee.