Indirimbo Zikundwa Open in the app

#154

Mwili huyu nilio nao

Umuco 1

Couplet 1

Mwili huyu nilio nao, Mwili huyu ulio nao, Tamaa zake hazina mwisho, Anaetawaliwa na mwili huyu, Hakumjua Baba Mungu.

Refrain

Mwili huyu ni mavumbi, Mwili huyu ni kama majani, Mwili huyu ni kama mauwa, Yanayochanua na kunyauka, Hayarudii mtini tena, Ndivyo mwili ulivyo.

Couplet 2

Mwili huyu nilio nao, Unatamani mambo ya dunia, Tamaa zake hazina mwisho, Na tabia zake ni za dunia, Umezaliwa na dunia.

Refrain

Mwili huyu ni mavumbi, Mwili huyu ni kama majani, Mwili huyu ni kama mauwa, Yanayochanua na kunyauka, Hayarudii mtini tena, Ndivyo mwili ulivyo.

Couplet 3

Mwili huyu nilio nao, Mambo yake ni ya umpumbavu, Ni mambo ya upotevu, Ni mambo ya kuasi Mungu, Mwili unatamani vumbi.

Refrain

Mwili huyu ni mavumbi, Mwili huyu ni kama majani, Mwili huyu ni kama mauwa, Yanayochanua na kunyauka, Hayarudii mtini tena, Ndivyo mwili ulivyo.

Couplet 4

Mwili umetoka mavumbini, Mwisho wake ni mavumbini, Mwili unatamani vumbi, Mwili unaishi juu ya vumbi, Vilivyo duniani: vumbi tuu.

Refrain

Mwili huyu ni mavumbi, Mwili huyu ni kama majani, Mwili huyu ni kama mauwa, Yanayochanua na kunyauka, Hayarudii mtini tena, Ndivyo mwili ulivyo.

Couplet 5

Ee Bwana Mungu Baba, Ujaze nguvu zako, Ndani ya mtu wa ndani, Apate kumtawala mtu wa ‘nje, Ee Mungu unisaidie.