Indirimbo Zikundwa Open in the app

#88

Neno la Mungu

Umuco 1

Couplet 1

Neno la Mungu si wote walijuwalo, Nyakati zote si wote walijuwalo, Neno hilo ni lugha ya mbingu, Walio wa mbingu walisikia.

Refrain

Neno la Mungu halibadiliki, Tangu mwanzo halibadiliki, Hata mwisho halitabadilika, Milele hata na milele.

Couplet 2

Enoki Neno hilo alilijua, Abeli lugha hiyo aliisikia, Nowa Neno hilo alilijua, Walio wa mbingu wanalijua.

Refrain

Neno la Mungu halibadiliki, Tangu mwanzo halibadiliki, Hata mwisho halitabadilika, Milele hata na milele.

Couplet 3

Waaminifu wote walilifunuliwa, Neno la nyakati zao zote, Na walikua wakilisikia, Na kufuatisha sheria za Neno.

Refrain

Neno la Mungu halibadiliki, Tangu mwanzo halibadiliki, Hata mwisho halitabadilika, Milele hata na milele.

Couplet 4

Nowa amepokea nuru hiyo, Danieli amepokea nuru hiyo, Mitume (wa)mepokea nuru hiyo, Na sisi tumeipokea.

Refrain

Neno la Mungu halibadiliki, Tangu mwanzo halibadiliki, Hata mwisho halitabadilika, Milele hata na milele.

Couplet 5

Tulivae Neno lake Bwana, Neno hilo ni lugha ya mbingu, Neno la Wakati wetu huyu, Ni Neno la wokovu wetu.