#59
Tetemeko na vita mahali
Umuco 1
Refrain
Tetemeko na vita mahali, mahali, Na watawaudhi ninyi, e msiogope! Tetemeko na vita mahali, Yatatokea mwanzo, Watawasaliti mpate dhiki, Wao watawaua, e msiogope!
Couplet 1
Nanyi mtakua watu, Wa kuchukiwa na mataifa, Kwa ajili ya Jina langu, Ndipo wengi watajikwaa, {Na watasalitiana na kuchukiana.} x2