#49
Bwana wangu unisikie
Umuco 1
Couplet 1
Bwana wangu unisikie, Nimesahau kutii Bwana, Nimelemewa na Shetani. Fika kwangu ewe Bwana wangu.
Refrain
Yesu, Yesu, ninalia, Usi... usinipite mimi, Nime... nimeisha teseka, Bwana kwa sababu ya dhambi.
Couplet 2
Mara nyingi nahubiriwa, Lakini ninakuwa mzaifu, Ninajua ni Wewe Yesu, Utaniokoa kwenye shida.
Refrain
Yesu, Yesu, ninalia, Usi... usinipite mimi, Nime... nimeisha teseka, Bwana kwa sababu ya dhambi.
Couplet 3
Manabii wale wa uongo, Watatokea na kudanganya, Wengi, wakati huu wa giza, Upendo wa wengi utapoa.
Refrain
Yesu, Yesu, ninalia, Usi... usinipite mimi, Nime... nimeisha teseka, Bwana kwa sababu ya dhambi.