Indirimbo Zikundwa Open in the app

#12

Ni furaha kubwa

Umuco 1

Couplet 1

Ni furaha kubwa Yesu akirudi, Kwa wale ambao wamejiandaa.

Refrain

Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, Wale waliojiandaa, Watapata raha milele.

Couplet 2

Waamini wote waliosinzia, Yesu akirudi wataamka.

Refrain

Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, Wale waliojiandaa, Watapata raha milele.

Couplet 3

Sisi sote pia waliomwamini, Tutanyakuliwa kwenda mbinguni.

Refrain

Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, Wale waliojiandaa, Watapata raha milele.

Couplet 4

Wamadini wote na watu wa dunia, Yesu akirudi hawatamuona.

Refrain

Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, Wale waliojiandaa, Watapata raha milele.

Couplet 5

Ewe ndugu yangu jichunguze nawe, Kama unashika ahadi zake.