#11
Ndugu sikiyeni
Umuco 1
Couplet 1
Ndugu sikiyeni ginsi Bwana Yesu, Alivyotumika hapa duniani, Alikuwa Baba: Muumba wa vyote, Kageuka Mwana, kageuka Roho.
Refrain
Agano la kale aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote, Agano la sasa ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, Kiongozi wetu.
Couplet 2
Alikua Baba: Muumba wa vyote, Mwanzo wa vyote, Mwisho wa vyote, Kageuka mwana: mkombozi wetu, Kageuka Roho: Mfariji wetu.
Refrain
Agano la kale aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote, Agano la sasa ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, Kiongozi wetu.
Couplet 3
Baba siyo jina, mwana siyo jina, Roho siyo jina. Jina ni Yesu, Yesu ndiye Baba, Yesu ndiye Mwana, Yesu ndiye Roho: Alfa na Omega.
Refrain
Agano la kale aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote, Agano la sasa ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, Kiongozi wetu.
Couplet 4
Sasa wewe ndugu ubatizo gani, Uliobatizwa ulipoamini? Amini Bwana Yesu (na) ukabatizwe, Katika Jina lake, upate uhai.
Refrain
Agano la kale aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote, Agano la sasa ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, Kiongozi wetu.
Couplet 5
Maana yake Yesu; Yesu ni Mwokozi, Mwenye ufufuko na uzima, Kila amwaminiye Yesu wa uzima, Hata akifa, atafufuka.