Indirimbo Zikundwa Open in the app

#88

Neno la Mungu halibadilike

Umuco

Couplet 1

Neno la mungu si wote walijualo, nyakati zote si wote walijualo, Neno hilo ni lugha ya Mbingu, waliyo wa Mbingu walisikiaa.

Refrain

Neno la Mungu halibadilike, tangu mwanzo halibadilike, hata mwisho halitabadilika, milele hata na milele.

Couplet 2

Enoki Neno hilo alilijua, Abeli lugha hio aliisikia, Nowa Neno hilo alilijua, waliyo wa Mbingu wanalijua.

Refrain

Neno la Mungu halibadilike, tangu mwanzo halibadilike, hata mwisho halitabadilika, milele hata na milele.

Couplet 3

Waaminifu wote walilifunuliwa! Neno la nyakati zao zote, na walikua wakilisikiya, na kufatisha Sheria za Neno.

Refrain

Neno la Mungu halibadilike, tangu mwanzo halibadilike, hata mwisho halitabadilika, milele hata na milele.

Couplet 4

Nowa amepokea nuru hio, Daniyeli amepokea nuru hio, Mitume imepokea Nuru hio, na sisi tumeipokea.

Refrain

Neno la Mungu halibadilike, tangu mwanzo halibadilike, hata mwisho halitabadilika, milele hata na milele.

Couplet 5

Tulivae Neno lake Bwana, Neno hilo ni lugha la Mbingu, Neno la wakati wetu huyu, ni Neno la Wokovu wetu.