#59
Tetemeko na vita mahali
Umuco
Couplet 1
Nanyi mtakua watu, wa kuchukiwa na mataifa; kwa ajili ya jina langu, ndipo wengi watajikwaa ./.Nawata-salitiana na kuchu-kiana.
Refrain
Tetemeko na vita, mahali, mahali, na watawaudhi nyinyi e’ musiogope tetemeko na vita mahali yatatokea mwanzo watawasaliti mpate dhiki wao watawauwa, e’ msiogope.