#57
Lazaro na tajiri
Umuco
Couplet 1
./.Unilinde unilinde katika maisha yangu, Bwana Yesu unilinde./. Palikua na mtu moja jina lake aliitwa Lazaro masikini kabisa mu dunia na vidonda vingi mno.
Refrain
Alikula kula makombo, yeny’ ameanguka mezani, aliomba kwa tabu na huzuni nyingi niokowe tabu zangu.
Couplet 2
Maskini aliishi kwa tajili na tajili alila hakumtaja alikula chembe chembe la tajili na makombo ya tajili.
Refrain
Alikula kula makombo, yeny’ ameanguka mezani, aliomba kwa tabu na huzuni nyingi niokowe tabu zangu.
Couplet 3
Wote wawili walikufa wote na Lazaro akaenda mbinguni na tajili akaenda motoni pa mateso mengi sana.
Refrain
Alikula kula makombo, yeny’ ameanguka mezani, aliomba kwa tabu na huzuni nyingi niokowe tabu zangu.