Indirimbo Zikundwa Open in the app

#56

Bwana Yesu mimi naomba

Umuco

Couplet 1

Bwana Yesu mimi naomba, sikiliza ombi langu ombi ninalo liomba Bwana tumika kazi yako.

Refrain

E’Bwana sikiya, e’Bwana tujibu Ewe Bwana, Bwana tujibu Bwana tumika kazi yako.

Couplet 2

Bwana Yesu wewe ulisema ombeni mutapewa, tafuteni mutaona Bwana tumika kazi yako.

Refrain

E’Bwana sikiya, e’Bwana tujibu Ewe Bwana, Bwana tujibu Bwana tumika kazi yako.

Couplet 3

Sisi wana twajiombea tukiomba wewe Baba, ewe Bwana Bwana tujibu Bwana tumika kazi yako.

Refrain

E’Bwana sikiya, e’Bwana tujibu Ewe Bwana, Bwana tujibu Bwana tumika kazi yako.