#34
Tumsifu Mungu
Umuco
Couplet 1
Tumusifu Mungu, haleluya! Alitupa Mwana, haleluya! Alikuja kwa hali ya mwili kuokowa sisi, haleluya!
Refrain
./. Haleluya, amen, haleluya./.
Couplet 2
Yesu alisema mimi ndie, ufufuko na uzima, kia mutu anaye niamini, hata akifa ana uzima.
Refrain
./. Haleluya, amen, haleluya./.
Couplet 3
Yesu ndie Alfa na Omega, yeye ni wa kwanza na wa mwisho, aliye kua’ko na aliye’ko, ni mwenye upendo na neema.
Refrain
./. Haleluya, amen, haleluya./.
Couplet 4
Yesu alikufa akafufuka, sasa yuko hai hata milele, Yeye ana funguo za mauti na za kuzimu ni mshindaji.
Refrain
./. Haleluya, amen, haleluya./.
Couplet 5
Yesu atarudi na utukufu, kuchukuwa wateule wake, wale waliojitayarisha waliokesha wakimungojea.
Refrain
./. Haleluya, amen, haleluya./.