Indirimbo Zikundwa Open in the app

#33

Kuna mji huko juu

Umuco

Couplet 1

Kuna Mji huko juu Mbinguni, umeandaliwa waamini waliozaliwa kati Ufalme, tutaimba, Haleluya.

Refrain

Tutaimba “Haleluya, amina!” Tutaimba “Haleluya, amen!” Kwa Imani tutaingia kule tutaimba Haleluya!

Couplet 2

Apa duniani kunajaa mateso, kule ni furaha tele, tutafulahi tukifika kule, tutaimba Haleluya!

Refrain

Tutaimba “Haleluya, amina!” Tutaimba “Haleluya, amen!” Kwa Imani tutaingia kule tutaimba Haleluya!

Couplet 3

Mateso ya hapa duniani ni ya siku kidogo sana, mwisho wa hayo ni furaha tele, tutaimba Haleluya!

Refrain

Tutaimba “Haleluya, amina!” Tutaimba “Haleluya, amen!” Kwa Imani tutaingia kule tutaimba Haleluya!

Couplet 4

Majaribu yanatuhimiza katika, safari hii ndungu tukivumilia tutashinda, tutaimba Haleluya!

Refrain

Tutaimba “Haleluya, amina!” Tutaimba “Haleluya, amen!” Kwa Imani tutaingia kule tutaimba Haleluya!

Couplet 5

Ewe, ndugu yangu uinuwe macho, utazame mji ule, mji tulioandaliwa, tutaimba Haleluya!