#12
Ni furaha kubwa
Umuco
Couplet 1
Ni furaha kubwa, Yesu akirudi, kwa wale ambao wamejiandaa.
Refrain
Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, wale waliojiandaa, watapata raha milele,
Couplet 2
Wa amini wote, waliyo sinzia, Yesu akirudi, wataamuka.
Refrain
Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, wale waliojiandaa, watapata raha milele.
Couplet 3
Sisi sote pia, waliomwamini, tutanyakuliwa kwenda mbinguni.
Refrain
Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, wale waliojiandaa, watapata raha milele.
Couplet 4
Wa madini wote, na watu wa dunia, Yesu akirudi, hawatamwona.
Refrain
Siku ya mwisho ikifika, Mwokozi Yesu atarudi, wale waliojiandaa, watapata raha milele.
Couplet 5
Ewe ndugu yangu, jichunguze nawe, kama unashika ahadi zake.