#11
Ndugu musikiye
Umuco
Couplet 1
Ndugu musikiye, jinsi Bwana Yesu alivyotumika, hapa duniani alikuwa Baba, muumba wa vyote, kageuka mwana kageuka roho.
Refrain
Agano lakale, aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote. Agano la sasa, ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, kiongozi chetu.
Couplet 2
Alikuwa Baba, Muumba wa vyote, Mwanzo wa vyote, mwisho wa vyote. Kageuka mwana Mkombozi wetu, kageuka roho, Mfariji wetu.
Refrain
Agano lakale, aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote. Agano la sasa, ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, kiongozi chetu.
Couplet 3
Baba siyo jina, mwana siyo jina, roho siyo jina, jina ni Yesu, Yesu ndiye baba, Yesu ndiye Mwana, Yesu ndiye roho, Alfa na Omega.
Refrain
Agano lakale, aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote. Agano la sasa, ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, kiongozi chetu.
Couplet 4
Sasa wewe ndugu ubatizo gani uliobatizwa, ulipoami? Amini Bwana Yesu, ukabatizwe katika Jina Lake, upate uhai.
Refrain
Agano lakale, aliitwa Baba, Muumba wa vyote, Muweza wa vyote. Agano la sasa, ni Mwokozi wetu, Mfalme wetu, kiongozi chetu.
Couplet 5
Maana yake Yesu, Yesu ni Mwokozi, Mwenye ufufuko, na uzima. Kila amuaminiye Yesu wa Uzima, hata akifa, atafufuka.