#158
Aniongoza popote
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Aniongoza popote Nimwandame Siku zote Mapenzi yake ni heri Yalitimizwa kalvari.
Couplet 2
Nitaongozwa na Bwana Usiku kucha na mchana Yesu rafiki wa heri Ninakumbuka kalvari.
Couplet 3
Lanitosha neno lake Nishikwe na mkono wake Mapenzi yake ni heri Yalitimizwa kalvari.
Couplet 4
Nitaendelea mbele Pamoja naye milele Pendo lake ni hiyari Bwana Yesu wa Kalvari.