Indirimbo Zikundwa Open in the app

#159

Ushirika mkuu, furaha yangu

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Ushirika mkuu, furaha yangu, Kumtegemea Bwana Yesu, Nina baraka, amani pia, Kumtegemea Bwana Yesu.

Refrain

Raha, Raha, Nina raha na Salama, Raha, Raha, kwa kumtegemea Yesu.

Couplet 2

Ni halisi kutembea naye, Kwa kumtegemea Yesu. Naona nuru njiani mwangu, Kumtegemea Bwana Yesu.

Refrain

Raha, Raha, Nina raha na Salama, Raha, Raha, kwa kumtegemea Yesu.

Couplet 3

Sioni shaka wala hasara, Kumtegemea Bwana Yesu; Nina amanikwake Mwolozi, Kumtegemea Bwana Yesu.

Refrain

Raha, Raha, Nina raha na Salama, Raha, Raha, kwa kumtegemea Yesu.